Kwanini watu wa Dar mnakaa mnatusimanga watu wa mikoani?

Kwanini watu wa Dar mnakaa mnatusimanga watu wa mikoani?

Habari, Tangu jana Kuna nyuzi zinatembea humu kutusimanga watu wa mikoani watu wa darslam tumewakosea nini??? Mtupumzishe jamani au mnataka watu wote waishi DAR???
Dar siku hizi napo si mkoani tu tanzania ni dodoma period.
 
Sikufichi mwana hayo maisha ya Kulala chini nimeyapitia Tena miezi Sita kubabeki dogo la tano kwa Sita watu wanne🤣Leo mtu hawezi niambia dsm ni pazuri nikakubali
😬😬😬
 
Watu wa dsm ujanja wao ni maneno tu. Ila kiuhalisia wengi wao ni choka mbaya. Wakishamiliki geto ndo wanaona wamemaliza, mtu anakaa dsm miaka zaid ya mitano ukija kumchek hana ht asset za maana zaid ya asset za geto tu, na hapo ndo anajiona mjanja kinoma.
 
Akimiliki sofa na kitanda na feni anaona ametoboa
 
Back
Top Bottom