Kwanini watu wa dar ukiwambia kuwa natokea kanda ya ziwa wanakuogopa sana

Kwanini watu wa dar ukiwambia kuwa natokea kanda ya ziwa wanakuogopa sana

Aman iwe nanyi wapendwa

niko huku dar lakin kinachoniacha mdomo waz ni kwamba mkiwa mnapiga story na watu wa dar

Labda kiswahili au mwonekano utakuta wanakuuliza wewe jamaa mwenyeji wa wapi UKIWAJIBU TU KUWQ NATOKEA KANDA YA ZIWA wana ogopa kinoma na kuanza kunyali vibaya wanakua wanaogopa na kuanza kuongea saut ya upole kinoma

Sasa kwanini wanatuogopa sana hawa watu aisee

LONDON BABY
ukimwi, katerero balaa la tetemeko , kwani mkuu hujamsikia
 
Tunaogopa mengi. Watu wa kanda ya ziwa ni kitu cha tofauti kabisa inahitaji uvumilivu na ujasiri . Ona kama huyu ... Hebu watu wa kanda ya ziwa muwe na subira kwenye maelekezo msijifanye mnajua kila kitu

8ad9a6b4f2db050c40d91d87f6240198.jpg
Hahaaa kwahiyo huyo ni mtu wa kanda ya ziwa
 
Wanawaogopa kwa kuwa wanajua wa kutoka ukanda huo wana matatizo ya akili

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua mkewe kikatili kwa kuchelewa kurudi kisimani kuteka maji...!??

Wengi wenu mna penda sifa na kujikweza hasa mkipata uongozi

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua mkewe kwa kuchelewa kupika chakula....!!!?

Ni hatari sana kukaa na watu wa aina hiyo.....
Wengi wa watu wa ziwa hawajaenda jando. Huwa wananuka uvundo fulani hasa ukikaa nao kwenye daladala.
Wanawake zao naona hawajajua matumizi sahihi ya maji wawapo chooni. Watu wa kanda hii ni wa kubeba mizigo mizito na mijikazi ya kwenye mabanda ya nguruwe na mbuzi
 
Duh
 
Tunaogopa mengi. Watu wa kanda ya ziwa ni kitu cha tofauti kabisa inahitaji uvumilivu na ujasiri . Ona kama huyu ... Hebu watu wa kanda ya ziwa muwe na subira kwenye maelekezo msijifanye mnajua kila kitu

8ad9a6b4f2db050c40d91d87f6240198.jpg
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Apa tembo beach musoma
 
Back
Top Bottom