kolomije00
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 208
- 147
ukimwi, katerero balaa la tetemeko , kwani mkuu hujamsikiaAman iwe nanyi wapendwa
niko huku dar lakin kinachoniacha mdomo waz ni kwamba mkiwa mnapiga story na watu wa dar
Labda kiswahili au mwonekano utakuta wanakuuliza wewe jamaa mwenyeji wa wapi UKIWAJIBU TU KUWQ NATOKEA KANDA YA ZIWA wana ogopa kinoma na kuanza kunyali vibaya wanakua wanaogopa na kuanza kuongea saut ya upole kinoma
Sasa kwanini wanatuogopa sana hawa watu aisee
LONDON BABY
Hahaaa kwahiyo huyo ni mtu wa kanda ya ziwaTunaogopa mengi. Watu wa kanda ya ziwa ni kitu cha tofauti kabisa inahitaji uvumilivu na ujasiri . Ona kama huyu ... Hebu watu wa kanda ya ziwa muwe na subira kwenye maelekezo msijifanye mnajua kila kitu
Wengi wa watu wa ziwa hawajaenda jando. Huwa wananuka uvundo fulani hasa ukikaa nao kwenye daladala.Wanawaogopa kwa kuwa wanajua wa kutoka ukanda huo wana matatizo ya akili
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua mkewe kikatili kwa kuchelewa kurudi kisimani kuteka maji...!??
Wengi wenu mna penda sifa na kujikweza hasa mkipata uongozi
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua mkewe kwa kuchelewa kupika chakula....!!!?
Ni hatari sana kukaa na watu wa aina hiyo.....
DuhWengi wa watu wa ziwa hawajaenda jando. Huwa wananuka uvundo fulani hasa ukikaa nao kwenye daladala.
Wanawake zao naona hawajajua matumizi sahihi ya maji wawapo chooni. Watu wa kanda hii ni wa kubeba mizigo mizito na mijikazi ya kwenye mabanda ya nguruwe na mbuzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tunaogopa mengi. Watu wa kanda ya ziwa ni kitu cha tofauti kabisa inahitaji uvumilivu na ujasiri . Ona kama huyu ... Hebu watu wa kanda ya ziwa muwe na subira kwenye maelekezo msijifanye mnajua kila kitu