ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilivyoendaga Moshi nilishangaa Sana yaani kila nyumba hukosi chai kwenye thermos mnaabudu mpaka chai inawapa uchangamfu au maana sijui kwanini mtu anakunywa chai tu na anashiba kwa Imani bila hata vitafuno.