Kumbe Dada ........Yale Yale ya lizaboni.....Elizabeth bonifaceSi kweli! Oyesrerbay mbona sana tu "mbwa kala mbwa"??
Upanga ni nadra kwa ofisa kuoa/ kuoana na afisa mwenzake /askari aliye chini yake (Kuna restrictions)
Hao vidampa wa hapo exim hawanaga lolote nawafananisha na walimu wa sekondari tu na Mara nyingi wanaoa askari magereza!
Nakusalim Dada yangu mpenzi Jane aka GENTAMY
Lizaboni ni mkuu wa mkoa haramu!Kumbe Dada ........Yale Yale ya lizaboni.....Elizabeth boniface
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Mungu ni mwema, inapendeza ndugu kukutana, iko siku tutakutana uso kwa uso.Hua natamani sana kukuona/kukujua physically.. nakumbuka tu ajenda yako ya PM kuleee...! we jamaa bwn!
Ni nadra sana kuona Watu wa ' Medani ' hizi Kubwa tatu ( 3 ) nchini Tanzania Kuoana wao kwa wao na kila unayekutana nae na ukimuuliza tu atakuambia ni bora asioe kuliko Kuona mwana ' Medani ' mwenzeke kwa sababu ambazo kiukweli wengi huwa hawazisemi na wanazificha.
Medani zenyewe hizo kubwa tatu ni hizi zifuatazo:
Nayasubiri majibu yetu ya ' Kutukuka ' ili nami leo niweze kujua ni kwanini hawa wana ' Medani ' wa ' Kada ' hizo kubwa, nyeti na muhimu huwa hawapendi na wanaogopana mno Kuoana na kuishi pamoja.
- Ile yenye Makao Makuu yake Upanga japo sasa inahamia Dodoma
- Ile yenye Makao Makuu yake Oysterbay jirani ya Kanisa la Mtakatifu Petro
- Ile yenye Makao Makuu yake Posta mpya jirani na Jengo la Exim Bank
Nawasilisha.
Sababu kubwa ni ubize na hivyo anaona Bors kuoa /kuolewa na watu wa Medani zingine ili tu awe angalau free kwa watoto kupata usimamiz wa mzazi mmoja waoNi nadra sana kuona Watu wa ' Medani ' hizi Kubwa tatu ( 3 ) nchini Tanzania Kuoana wao kwa wao na kila unayekutana nae na ukimuuliza tu atakuambia ni bora asioe kuliko Kuona mwana ' Medani ' mwenzeke kwa sababu ambazo kiukweli wengi huwa hawazisemi na wanazificha.
Medani zenyewe hizo kubwa tatu ni hizi zifuatazo:
Nayasubiri majibu yetu ya ' Kutukuka ' ili nami leo niweze kujua ni kwanini hawa wana ' Medani ' wa ' Kada ' hizo kubwa, nyeti na muhimu huwa hawapendi na wanaogopana mno Kuoana na kuishi pamoja.
- Ile yenye Makao Makuu yake Upanga japo sasa inahamia Dodoma
- Ile yenye Makao Makuu yake Oysterbay jirani ya Kanisa la Mtakatifu Petro
- Ile yenye Makao Makuu yake Posta mpya jirani na Jengo la Exim Bank
Nawasilisha.
Sasa unamlaumu mleta mada kwa kejeli kisa wewe hujui acha utoto wewe kama hujui tulia wanaojua watatoa Maelezo . busara ni muhimuMleta una akili ndogo sana sizan kama zinakutosha nyambafu wewe kwa akili yako hiyo ndogo unazan kila mtu ni wa dar siyo? Upanda ndo wap bull shit
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nakuunga mkono kabsa ktk hiliKabla ya kusema hayo, tuletee data za kipindi hicho ambacho unadhani walikuwa wakioana wenyewe kwa wenyewe.
Hata hivyo, ni hali tu ya kujinafasi katika maisha. Wao pia ni binadamu, wanaohitaji kuwa na watoto na familia kwa ujumla.
Kuoana na mtu ambaye majukumu yenu yanawabana sana, itawanyima muda wa kuwa na familia na malezi ya watoto kwa ujumla.
Watoto watakosa malezi ya wazazi kwa kiwango kinachostahili kwani kuwa busy sana na kazi. Hivyo, heri muoane wa field tofauti. Mmoja awe loose kidogo.
Pili, sehemu kubwa jinsia ke wa medani hizo huwa na sura isiyopendeza sana. Hivyo huwalazimu wenzao kwenda kuwasaka wa field zingine.
Halafu wanataka waelewe wakati majibu hawana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaetaka kuelewa aje pm na sh. Elfu kumiSasa kama hujaelewa si unakaa kando walioelewa wachangie, kwani kila thread lazima uelewe/uchangie mbona thread nyingine huwa mnazipita bila kufungua, kwanini hii, [emoji23][emoji23][emoji23]wa MKOA bhna, haya na liwatoke povu sasa.