Kwanini Watu wa Medani hizi Kubwa, Nyeti na Muhimu hapa Tanzania huwa hawapendi Kuoana wao kwa wao?

Kwanini Watu wa Medani hizi Kubwa, Nyeti na Muhimu hapa Tanzania huwa hawapendi Kuoana wao kwa wao?

Tulio nje ya dar hatujui izo medani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Si kweli! Oyesrerbay mbona sana tu "mbwa kala mbwa"??

Upanga ni nadra kwa ofisa kuoa/ kuoana na afisa mwenzake /askari aliye chini yake (Kuna restrictions)
Hao vidampa wa hapo exim hawanaga lolote nawafananisha na walimu wa sekondari tu na Mara nyingi wanaoa askari magereza!

Nakusalim Dada yangu mpenzi Jane aka GENTAMY
Kumbe Dada ........Yale Yale ya lizaboni.....Elizabeth boniface

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hiyo namba 2 wanaoana sana. Na Mara nying km ukioa au kuolewa naye basi na wewe unakuwa informer/agent.( kuwa agent haimaniishi ndiyo umeshakuwa suti nyeusi)
Ni nadra sana kuona Watu wa ' Medani ' hizi Kubwa tatu ( 3 ) nchini Tanzania Kuoana wao kwa wao na kila unayekutana nae na ukimuuliza tu atakuambia ni bora asioe kuliko Kuona mwana ' Medani ' mwenzeke kwa sababu ambazo kiukweli wengi huwa hawazisemi na wanazificha.

Medani zenyewe hizo kubwa tatu ni hizi zifuatazo:

  1. Ile yenye Makao Makuu yake Upanga japo sasa inahamia Dodoma
  2. Ile yenye Makao Makuu yake Oysterbay jirani ya Kanisa la Mtakatifu Petro
  3. Ile yenye Makao Makuu yake Posta mpya jirani na Jengo la Exim Bank
Nayasubiri majibu yetu ya ' Kutukuka ' ili nami leo niweze kujua ni kwanini hawa wana ' Medani ' wa ' Kada ' hizo kubwa, nyeti na muhimu huwa hawapendi na wanaogopana mno Kuoana na kuishi pamoja.

Nawasilisha.
 
Sababu kubwa ni ubize na hivyo anaona Bors kuoa /kuolewa na watu wa Medani zingine ili tu awe angalau free kwa watoto kupata usimamiz wa mzazi mmoja wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo utakuwa umetutenga wengine tusiofahamu dar ni vema ukafafanua ili tuweze kuelewa wote
 
Sisi wa Nkyaka Nkunde na Kolomije tunapita kimyakimya.
 
Sasa kama hujaelewa si unakaa kando walioelewa wachangie, kwani kila thread lazima uelewe/uchangie mbona thread nyingine huwa mnazipita bila kufungua, kwanini hii, [emoji23][emoji23][emoji23]wa MKOA bhna, haya na liwatoke povu sasa.
 
Kama hujaewa, Upanga ni jeshi jwtz, posta karibu na exim bank ni Polisi, osterbay ni tiss usalama wa taifa
 
Kabla ya kusema hayo, tuletee data za kipindi hicho ambacho unadhani walikuwa wakioana wenyewe kwa wenyewe.

Hata hivyo, ni hali tu ya kujinafasi katika maisha. Wao pia ni binadamu, wanaohitaji kuwa na watoto na familia kwa ujumla.

Kuoana na mtu ambaye majukumu yenu yanawabana sana, itawanyima muda wa kuwa na familia na malezi ya watoto kwa ujumla.

Watoto watakosa malezi ya wazazi kwa kiwango kinachostahili kwani kuwa busy sana na kazi. Hivyo, heri muoane wa field tofauti. Mmoja awe loose kidogo.

Pili, sehemu kubwa jinsia ke wa medani hizo huwa na sura isiyopendeza sana. Hivyo huwalazimu wenzao kwenda kuwasaka wa field zingine.
Hata mm nakuunga mkono kabsa ktk hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hujaelewa si unakaa kando walioelewa wachangie, kwani kila thread lazima uelewe/uchangie mbona thread nyingine huwa mnazipita bila kufungua, kwanini hii, [emoji23][emoji23][emoji23]wa MKOA bhna, haya na liwatoke povu sasa.
Halafu wanataka waelewe wakati majibu hawana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaetaka kuelewa aje pm na sh. Elfu kumi
 
Back
Top Bottom