Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Habari za saa hizi wakuu, poleni kwa mihangaiko ya siku ya Leo.
Kwanini kwasasa kumekua na machawa wengi sana??
Na ni kivipi mtu una akili zako timamu ukubali kua chawa??
Kama tunavyojua chawa ni mdudu mchafu na ni mbaya sana kuwa naye, na ni aibu kubwa sana kuonekana mwilini mwako.
Kama una chawa basi utakua ni mtu wa kujishtukia kila mara.
Kwamaana hiyo ni kwamba yeyote yule mwenye chawa sio mtu smart, mtu smart na aliyekamilika hawezi kua na chawa.
Ukiona unagandwa sana na chawa ujue we ni mchafu na unalipa ndio maana una chawa.
Watu wengi ambao mshipa wao wa fahamu una tatizo utawakuta na rundo la machawa,
Mtu alikamilika kiakili hawezi huo ubwege.