Sio viongoz sio mashabiki wote wanajizima data yani kiukweli wanatia aibu na kuidharirisha taasisi kubwa kama ile, sasa oneni alichoondika afisa habari wenu.
#Ahmed ally
Hadi sasa hakuna elie weza kuvunja rekodi yake Katika ligi hii ya tanzania Katika kufumania nyavu[emoji881]
View attachment 2654712
Swali: JE HAMJUI MOHAMMED HUSSEIN MMACHINGA AU NDO KASAHAU KUNYWA DAWA ZAKE