Kwanini watu wa vijijini na masikini sana huwa na sura na maumbile mabaya tofauti na wa mjini au matajiri?

Hili suala nafikiri mpwayungu village atakua na majibu sahihi zaidi.
Maana yeye ni mfano hai wa kijiji cha mpwayungu.
Kama ikimpendeza akiambatanisha na li foto itabamba zaidiπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Sio wabaya ila ngozi tu zinakua zimebadilika sababu ya kazi nyingi either kwenye jua au baridi ila wakija mjini na kupata unafuu wa maisha wanakua kwenye hali nzuri
 
Ha ha ha! Unajaribu kutukumbusha habari za Mfalme Zumaridi. Mahabusu wiki tu akarudi kwenye uhalisia wake.
 
Asilimia kubwa watakao kupinga humu ni wale waliokulia vijijini na uswazi..Profesa J mwenyewe amewahi imba kuhusu binti alie mtoa Sichimbi na kumpeleka mjini.
Mjini shule.
Watu wa vijiji hawana acces ya vyakula tofauti vinavyorutubisha mwili. Vipo vijiji vichache angalau.
Binafsi nimejiingiza kwenye kazi za watu wa vijijini, aisee nikikaa shamba mwezi hakuna mafuta yanakubali ngozi.
Nahisi kupigwa mionzi ya jua nayo inachangia sana, mfano trafic polisi hupigwa na jua sana na kuwa ngozi nyeusi sijui kama mmeliona hilo.
Vijijini watu huoga matope mda mwingi kuliko wa mjini, tope hufubaza ngozi.
Mizigo mizito, yaani watu wa vijijini hudumaa kwa kubeba mizigo mizito mara kwa mara kuanzia utotoni wakati mjini wanatumia usafiri.
Kazi ngimu, kutokana na kazi ngumu wanapoteza sehemu kubwa ya nishati wakati mjini mfano wanawake hio nishati hugrika mafuts na huifadhiwa kwenyr makalio.Makalio asilimia kubwa ni mafuta.
Kutembea mwenfo mrefu aisee hao watu wanatembea japo boda xipo ila wabahiri sana.
Kuuza vyakula vizuri na kubaki na makapi au masalia, mfano unyakyusani huchuja maziwa mazuri na kuyasafirisha mijini na wao kunywa makapi wanayaita 'Masulu"
Kulewa.Aisee kuna vijiji wanalewa mpaka wanasahau kula kuoga na kufanya kazi.
 
Kijana una moaka mingapi kwa sasa?
 
Picha ziko wapi?
 
Bila shaka unaongelea kijijini mbeya, na huko Mara tarime,

Hivi ushawahi enda kijijini tanga? Kondoa, pwani, singida?
Sasa hao wa vijijini huko tanga wakienda mjini watakuwa zaidi ya unavyowaona.
Mjini raha wewe asikwambie mtu.

Kuna watu wa kabila fulani walioko mkoani kwao ni weusi tii, lakini walioko mjini hata wakikwambi ni wa kabila hilo utakataa. Wako kama wasomali.
 
Mtoa mada wewe hauna ndugu zako kijijini?
Je waliopo kama ni macousin au watoto wa baba mkubwa /mdogo hawafanani na wewe hata kidogo ?
 
Kwa hiyo umepelekwa kijiji kimoja tu na shemeji yako kwenda kumsaidia kuvuna ndio ukaja kufungua uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…