Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
Aliyeanzisha thread ndo majanga zaidi....Huyo mwanaume anayemwambia mwanaume mwenzie kapendeza tena kwa Kiswahili ujue kuna walakini, itakuwa Mende kaona choo
Au wanaume wengine wakisifiwa mfano "suti yako nzuri", hujibu - "msichana yoyote ukimsifia kavaa vizuri anajitikia ahsante lakin ,kwa mwanaume akisifiwa utamskia anajibu kawaida tu! hii ikoje?