Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
msichana yoyote ukimsifia kavaa vizuri anajitikia ahsante lakin ,kwa mwanaume akisifiwa utamskia anajibu kawaida tu! hii ikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeanzisha thread ndo majanga zaidi....Huyo mwanaume anayemwambia mwanaume mwenzie kapendeza tena kwa Kiswahili ujue kuna walakini, itakuwa Mende kaona choo
Au wanaume wengine wakisifiwa mfano "suti yako nzuri", hujibu - "msichana yoyote ukimsifia kavaa vizuri anajitikia ahsante lakin ,kwa mwanaume akisifiwa utamskia anajibu kawaida tu! hii ikoje?