Kwanini watu wanakula Kasa licha ya wengine kufa kwa sumu waliyonayo?

Kwanini watu wanakula uyoga na kisamvu huku vikiua wengine!
 
Huyu ni Kobe wa baharini,wanamkosea namna ya kumchinja hivyo wanashindwa kuondoka sumu
 
Hawa Kasa wana bacteria wa salmonella
Ndio maana unakuta watu wanapomla wengine hudhurika na sumu hiyo na kufa na wengine huugua tu na kupona

Ila wapemba wabishi sana wanahitaji kuelimishwa na hata kupiga marufuku kuwauwa hawa viumbe na walindwe

Mbona nchi nyingi ni marufuku kuwauwa?
Tena kuna nchi zingine ni marufuku hata kuwagusa
 
Njaa haina baunsa.
 
Masa mtamu sana, nilikuwa sijawahi kumla, siku niliyomla ni ana Nyama tamu...acheni Tu watu wafe
 
kwanza kabisa kassa hana sumu ila yupo samaki ana fanana sana na kassa anaitwa ng,amba kama sio mjuzi unaweza ukadhani wote sawa ng,amba ana sumu tena kali tofauti yao nyama ya ng,amba ikiwa mbichi inawasha mikononi ila kasa haina muwasho huku kwetu hao waliopewa ulinzi kuwalinda kasa ndio tuna kula nao
 
Ni uroho tu na kudanganyana kuwa alikosea kutoa nyongo wengine alikosea kutoa maini n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…