Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
kwa mara ya kwanza tangu nijiunge jamii!Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!

If a relationship ends because the man was not treating you, as you
deservethen heck no, you can't "be friends".
A friend wouldn't mistreat a friend.Don't settle
mWANAKIJI heshima kwako mkuu, Penzi haliishi aisee, huba ni kitu cha ajabu.Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
tena mwanamke ''UKIM-BIKIRI'' ndo umemaliza kazi........!
With due respect, FL wewe huwa hukumbushii? πjamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive
Hivi mabinamu nyie mkikutana na ma -X wenu milioachana nao kwa uzuri mnaweza kukumbushia?
ZD ,Geoff ,Nguli ,Xpin Kaizer ..,camel MJ1 ,bht ,Pretty ,Lilly,Pearl ,na wewe Klorokwin dawa ya Maralia ...
lakini si vyema kukumbushia labda kama mko singo mnaweza kuurudisha uhusiano ili uchukue hatua mpya zaidi
sasa mzee kubikiri ni TUSI?Binamu tafadhali punguza ukali wa maneno. Kwa Kiswahili fasaha nasema tumia tafsida. Leo ni tumekubaliana kuwa kimaadili zaidi, na siku ya heshima kwa wanawake wa forum na duniani kote! π
With due respect, FL wewe huwa hukumbushii? π
mWANAKIJI heshima kwako mkuu, Penzi haliishi aisee, huba ni kitu cha ajabu.
nikiwa na waifu nitajifanya kumkandia ex wangu tena ikiwezekana ntajifanya kupiga gumi ukuta ili kuzihirisha hasira zangu za kumchukia. lakini nikiwa bafuni alone kumkumbukia lazima! kuna vipigo flani flani lazima utavikumbuka tu hata ukiwa mazikoni! he he hejamani hii hatari eeh na hii Topic iko vere sensitive