Hamuombani, yaani siku ukikutana naye
Hizi automatic mhhhh....
Mkulu,
Hongera zako,kwani kwa maneno mengine wewe Umeoa BRAND NEW au siyo?
Kama umeoa( Fidel) brand new wakati wewe ni used!
Naomba nami niweke senti mbili zangu kama ifuatavyo.
Niliwahi kusikia kutoka kwa watu walioshi miaka ileeeee ya 47 kuwa moja ya sababu zilizokuwa zinawafanya watu kuoa mapema ni kuepuka kuonjaonja huku na kule na kujikuta ukitangatanga hata baada ya kuingia kwenye ndoa. Ukiwa na tabia ya sampling basi utapata shida sana maishani mwako maana hutaacha kulinganisha.Utakuwa kila mara unalinganisha huyu na yule na yule.... na ukipata mwanya tu basi ndio mambo ya kukumbushia hutokea.
Ukiingia kwenye ndoa za kulazimisha na mtu ambaye hukuwa tayari naye kwa sababu moja ama nyingine, au ukikatizwa penzi wakati haukuwa tayari kuachana na mwenzio..chances are kweli mtakumbukia mkipata nafasi hasa kama hamjali maadili, wala kuogopa Mungu.