Kwanini watu wanakumbushia?

Shukrani mkuu kwa hongera zako.
Mi bado nipo nipo natarajia kuoa 2012 nipo kwenye mchakato wa kupata BRAND NEW.

Ok unakaribishwa kwenye Club yetu,ila mambo yenyewe ndio kama hayo watu WANAKUMBUSHIA
Sasa hata ukipata BRAND NEWkuna wale walio cheza nae mchezo wa BABA na MAMA na KIJIPIKILSHA
 
Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.

Wewe unakuwa brand new au??

tena mwanamke ''UKIM-BIKIRI'' ndo umemaliza kazi........!
myth tu....

Alafu mm haka katabia ka kukumbushia ninako sana hata nikienda kijijini lazima nikumbushie nikienda Chuda lazima nikumbushie nikienda Shycom lazima nikienda Mbeya lazima nitafute koloni langu la enzi hilo na tunakumbushia.
Ni tabia ya mtu na tabia haina dawa......

Kufanya maamuzi ya haraka hupelekea kujutia na baadae kusema laiti ningelijua.....

Mkuu! hii inatokea automatic esp pale mnapokutana maeneo ambayao mapenzi yalikuwa kwenye peak. Pia kama uliyoko naye kwa hivi sasa hana quality za ex mkikutana mnaweka mikono juu mnasahau shida zenu.
Nguli.... mapenzi yakiwa kwenye peak mnaachananaje hadi mje mkumbushie...fafanua

Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.
..Mh! Si kweli Fidel...
 
kwa hiyo mzee HAUKUMBUSHIAGI KABISA?......😀

Niliwahi kuweka istoaria yangu hapa na Mrs Nguli, tulikutana UD nikiwa na miaka 22 nimetokea seminary nilikouasi upadirisho. so she is my first n last in Jesus name Amen. So sina wakukumbushia.
 
Niliwahi kuweka istoaria yangu hapa na Mrs Nguli, tulikutana UD nikiwa na miaka 22 nimetokea seminary nilikouasi upadirisho. so she is my first n last in Jesus name Amen. So sina wakukumbushia.
ACHA UONGO NGULI.....!
tunajua
 
ile inatokea outomatic bana yani asaukute ulikuwamnafikishana vizuri yani atakama kaolewa au umeoa utajikuta kiulaini mmekumbushiana
 
Kwa muhtasari tu wa uliyoandika hapo ni kwamba kukumbushia ni rukhsa ila tu lazima uwe na ''justification''!! 🙂
 
Kama umeoa( Fidel) brand new wakati wewe ni used!

WOS we andaa mchango wako 2012 mm nakamata mwali tena nazindua mwenyewe.
Sawa mm used lakini mwali wangu hatakuwa used.
 
FL1 mie sikumbushi, nikipiga kibuti ni mazima no turning back. ha ha ha ha ha!!!!!!
 
Kwa muhtasari tu wa uliyoandika hapo ni kwamba kukumbushia ni rukhsa ila tu lazima uwe na ''justification''!! 🙂
Siyo swala la justification... ukinisoma kwa undani utaona kuna mambo mengi sana katika nilichokiandika. Kwa uchache:-
1. Mwonja asali haonji mara moja - epuka kuonjaonja - utajenga mazoea Tujifunze kwa lichosema Nguli na Fidel.
2. Ukiweza jihadhari na maamuzi ya harakaharaka maana utakuja kujuta mbele ya safari na kutanga ukitafuta faraja.
3. Binadamu alivyoumbwa ni vigumu kumuelewa - ni fumbo ambalo si rahisi kulifumbua kwa kujadili kama tunavyofanya hapa.
 
ACHA UONGO NGULI.....!
tunajua

Kama unajua ukweli kuliko mimi na Mrs Nguli weka hapa na wote waufahamu tena ikiwezekana ambatanisha na picha nakuruhusu.
Sionagi sababu maishani mwangu kumchagua mtu waku spend the rest of my life with niwe wakumpa machungu the rest of her life.
Kama kawaida yangu naamini na Mungu baba atanisimamia I am here to make the defference.
 
kukumbushia kunachangiwa na kutegemeana na mambo mengi.
mfano: 1. mliachana kwa uzuri bila ugomvi!
2. mlitenganishwa na masomo au kazi baadaye mnakutana!
3. Au bado ule upendo wenu wa kwanza upo palepale!
4. Patina mmoja hamtosherezi kikamilifu mwenza wake iwapo
wapo married hivo mwingine kwena kutafuta utosherevu na
njia rahisi ni kumpata x wake!
5. nk nk nk!
 
Mwanakijiji

Kumbe topic zako ni mbali mbali..Hongeraa.
 
Mwanakijiji

Kumbe topics zako ni mbali mbali..Hongeraa.
 
Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.

Fidel80,
Umeniacha hoi, Mke used'?????
Duuuu! labda reaction toka kwa MWJ1 NA FL, PRETTY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…