Kwanini watu wanamshutumu huyu kiumbe kwa mambo ya kusadikika?

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Dhana hizi zimerithishwa toka vizazi hadi vizazi vikimshutumu kiumbe huyu hana hata hatia ya hayo yote yanayoongelewa juu yake. Watu wameenda mbali zaidi eti wanabadilikaga kuwa watu!!.

Ukiwaambia watoe ushahidi.....hakuna!

Tuwapende na kuwajali viumbe vyote bila ubaguzi. Viumbe vyote viko kwa ajili yetu na vinahitaji upendo bila kujali vinafanana aje?

Tufute dhana potofu.
images (3).jpeg
 
Kama hujui ila huyo kiumbe ni snitch wa hatar,anaweza akatumiwa na mbaya wako
 
View attachment 2165996
Naunga mkono Hoja.
 
Kama hujui ila huyo kiumbe ni snitch wa hatar,anaweza akatumiwa na mbaya wako
Hizo ni dhana potofu ambazo upelekea kiumbe huyu kuchukiwa na kuhofiwa kwenye jamii zetu lakini kwa uhalisia kiumbe huyu anaweza kuwa rafiki mzuri sana kwako tuache fikra potofu tuwapende na tuwajali
 
Hii dunia hii acha kabisa... Ndo maana wanasema huyo jamaa ana roho Saba,unajua kwanini?
 
Kuna Binti mmoja hapa jirani yangu anawafuga ila bado ni kijana tu toka nyanda za juu kusini ila inasemakana ni mlozi sana majirani wanamuogopa ila ni pisi Kali sana cha ajabu hajui kusoma wala kuandika na amemkamatia Mme wa mtu hapindui na kamjengea hapa
 
Back
Top Bottom