The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Naunga mkono Hoja.Dhana hizi zimerithishwa toka vizazi hadi vizazi vikimshutumu kiumbe huyu hana hata hatia ya hayo yote yanayoongelewa juu yake. Watu wameenda mbali zaidi eti wanabadilikaga kuwa watu!!.
Ukiwaambia watoe ushahidi.....hakuna!
Tuwapende na kuwajali viumbe vyote bila ubaguzi. Viumbe vyote viko kwa ajili yetu na vinahitaji upendo bila kujali vinafanana aje?
Tufute dhana potofu.
View attachment 2165996
Hizo ni dhana potofu ambazo upelekea kiumbe huyu kuchukiwa na kuhofiwa kwenye jamii zetu lakini kwa uhalisia kiumbe huyu anaweza kuwa rafiki mzuri sana kwako tuache fikra potofu tuwapende na tuwajaliKama hujui ila huyo kiumbe ni snitch wa hatar,anaweza akatumiwa na mbaya wako
Hii dunia hii acha kabisa... Ndo maana wanasema huyo jamaa ana roho Saba,unajua kwanini?Hizo ni dhana potofu ambazo upelekea kiumbe huyu kuchukiwa na kuhofiwa kwenye jamii zetu lakini kwa uhalisia kiumbe huyu anaweza kuwa rafiki mzuri sana kwako tuache fikra potofu tuwapende na tuwajali
Jamaa Hachomoi!!Hii dunia hii acha kabisa... Ndo maana wanasema huyo jamaa ana roho Saba,unajua kwanini?
Hahahaaa kwa nini mkuu😁Hii dunia hii acha kabisa... Ndo maana wanasema huyo jamaa ana roho Saba,unajua kwanini?
Huyo anatumika na walozi
Walozi hata Mbwa , Fisi wanaweza kuwatumia pia tusimwonee Paka pekeakeHuyo anatumika na walozi
Kuna wanyama kwao ni haramu kabisa kuwatumia especially mbwaWalozi hata Mbwa , Fisi wanaweza kuwatumia pia tusimwonee Paka pekeake