Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann sio rahisi kununua gari used lililotumika Malawi, Kenya au nchi jirani na TzJapani ndio nchi inayoongoza kwa kuzalisha magari duniani... kwahyo kule gari ni kama unaenda baharini kuvua samaki... gari za japan ni bei rahisi na vifaa vyake bei rahisi inawafaa maskini na matajiri... gari za ulaya mpaka uwe na mahela mengi sana
Point namba sita ni kwa wakata ufuta tu ndiyo watalialia binafsi sijawahi kumiliki Japanese vehicle na sijawahi kulialia...kupanga ni kuchagua. Japan ina MoU na nchi nyingi hasa za Africa...baadhi ya nchi za West Africa they don't import from Japan majority ya magari yao wanaagiza nchi za ulaya1. Japan kuna idadi kubwa ya magari Used but excellent Quality
2. Japanese government imerasimisha biashara ya exportation ya magari used.
3. Kuagiza gari used Japan ni rahisi sana., kila kitu unafanya online.
4. Magari used Japan ni very Cheap..
5. Upatikanaji wa Spares za magari ya kijapani ni mkubwa hapa Africa..
6. Mafundi wanaoweza kutengeneza magari ya kijapani ni wengi sana hapa Africa(na kwengineko)..
6. Matunzo ya gari za 'mjepu' ni gharama ndogo sana hivyo yanatufaa sisi waafrica.. kama hauamini nunua BMW, Benz.. etc uje ufungue uzi wa kulialia hapa..
7. Japan ina raia zaidi ya mil 150 wenye vipato vikubwa, hivyo kuna idadi kubwa sana ya magari used maana karibu kila mtu ana gari na kila baada ya muda mfupi atataka kubadili.
8. Kutokana na biashara hii kujikita mizizi (point 2 hapo juu), Usafirishaji wa magari kupitia meli kwenda maeneo mbalimbali duniani ni wa rahisi na uhakika..
....Kwenu Studio
Kwann sio rahisi kununua gari used lililotumika Malawi, Kenya au nchi jirani na Tz
Kwan kuna tatizo gani nikivuka nchi jirani nikamtafuta dalali akanitaftia gari nikalipenda nikavuka nalo, kwann haiwi hivyo?Gari hilo tayali linakua limeshatumika huko japan na pia likiwa malawi,kenya ujue limetumika tena kwahio haina maana ununue double used ya Japan na africa.
Huko ulikotaja tuagize sio wazalishaji, japani anazalisha pia watu wa japan wanatunza magari sio kama hao uliowataja majirani zetuKwan kuna tatizo gani nikivuka nchi jirani nikamtafuta dalali akanitaftia gari nikalipenda nikavuka nalo, kwann haiwi hivyo?
Hongera bob..Point namba sita ni kwa wakata ufuta tu ndiyo watalialia binafsi sijawahi kumiliki Japanese vehicle na sijawahi kulialia...kupanga ni kuchagua. Japan ina MoU na nchi nyingi hasa za Africa...baadhi ya nchi za West Africa they don't import from Japan majority ya magari yao wanaagiza nchi za ulaya
Qmmk[emoji1787][emoji1787]Kule Demu Ukimuhonga Gari Anakuona bonge la fala.
Actually Japan ina watu 123+ milioni hawajafika huko 150+population.1. Japan kuna idadi kubwa ya magari Used but excellent Quality