Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

Asante mkwe. Effects za mazoezi hizo. Nilijitia nataka kuwa fit haraka nikaoverdo. Natembea kama ndama alietoka kuzaliwa sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi wewe!!kisa cha kupunguza mwili ni nini!!! Mbona miye naona umzuri jamaan!mazoezi waachie wadada wa mjini wenye mishepu mibayaa kama open kitchen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendaga tu kuangalia wanaoendesha magari mazuri. Sasa kuna siku kimbelembele changu hiki wakati navuka barabara kukawa na Prado kali nikaisimamisha nivuke. Ile kumuangalia driver nusu nianguke barabarani. Alikua kavaa ninja na katia kinyago kwa juu. Nilihisi nimekutana na jambazi. Ila hiyo tabia sijaacha. Nikiona vigari vya kawaida wala siangalii ila haya mazuri naangalia tu nasema one day yes

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Ninja ni yule wa Mambo ya ndani!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom