Kwanini watu wanaogopa kujamba kwa sauti?

Kwanini watu wanaogopa kujamba kwa sauti?

Daah...Wengine Tuna-sound km Baja Afu ina magnitude hiyooo Inaweza Dondosha kabati....
 
287978b04cc56e8f0beed0bf301c70ff.jpg


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Gesi ya chakula kilochovunda siyo nzuri...

Kujamba kwa sauti ni chooni tu.. Mbele za watu sogea au usijambe kabisa, ni uchafu kwa wengine...


Cc: mahondaw
 
Mbona Mimi huwa siogopi kujamba mbele ya qqtu. Hua wanaona kama masihara lakini Mimi naachia tu.
 
Back
Top Bottom