Kwanini watu wanapenda kuzitabiria nchi zao mambo mabaya badala ya mema?

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.

Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.

Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”

Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.

Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”

Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.

Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
 
Kama kutabiri ni kupenda, basi na wewe penda kutabiri hayo ambayo unadhani hayajatabiriwa ili iwe sawa!
 
Wengi wanaotabiri mabaya huwa wamependa wenyewe tu, sawa na watabiri wa mechi za mpira; sio kwamba wameongozwa na Mungu. Ndiyo sababu mautabiri yao huwa hayatimii.
 
Usinivuruge Niko Kwenye Maombi Yakumuomba Mungu Alete Tetemeko Liizamishe Na Kuimeza Tz.
Maana Nchi Imeshapotelea Gizani,hakuna Matumaini.
 
Ukimuomba Mungu sio lazima akujibu "Ndiyo". Anaweza pia kukujibu "Hapana"
Sasa nakuambia hivi: Mungu ameyasikia maombi yako lakini badala ya kuleta tetemeko, anakuambia hivi:
Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani (Rum 12:14-21).
 
Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.

Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.

Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”

Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.

Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”

Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.

Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
That’s an idea worth chewing on
 
Usinivuruge Niko Kwenye Maombi Yakumuomba Mungu Alete Tetemeko Liizamishe Na Kuimeza Tz.
Maana Nchi Imeshapotelea Gizani,hakuna Matumaini.
Mkuu, tetemeko likiizamisha Tz, wewe na watoto wako na ndugu zako si mtazama wote? Au maombi yako unayafanyia Ubelgiji?
 
Kuna jamaa alisema ikifika April 2025, Dar itafunikwa na majo ya gharika hivyo alishauri kila mtu anayeishi Dar auze vitu vyake ahame...

Hivi ninavyoandika ni August 2025 na Dar magorofa na barabara zinazidi kujengwa...

Mwenye akili na afahamu...
 
Mkuu, tetemeko likiizamisha Tz, wewe na watoto wako na ndugu zako si mtazama wote? Au maombi yako unayafanyia Ubelgiji?
Msiba Wa Wengi Ni Sherehe.
Kuliko Mateso Na Kero Za Tz.
 
Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.

Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.

Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”

Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.

Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”

Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.

Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
ugumu wa maisha na kuendekeza ushirikina 🐒
 
Mambo mabaya hufurahisha.
 
Ulivyomaliza maombi yako, Mungu alikujibu nini?

NIKO Ambaye NIKO,Ameniambia "Tulia Mwanangu,kilio Chako Na Watanganyika Wote ,wakiwapo TEC
Kimenifikia Katika Kiti Changu Cha Enzi,nami Nitawaonyesha Ukuu Wangu Hao Wenye Mioyo Migumu "
MWISHO WA KUNUKUU.
 
Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.

Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.

Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”

Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.

Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”

Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.

Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Prophets of doom ni wengi wanaongozwa na Lema
 
Ongeza na hii; utabiri unapamba moto kipindi cha uchaguzi. Manabii wanaudhalilisha sana Ukristo🙌🙌
 
Yaani asiejua kwamba ukila unaenda chhoni nani!? Huo nao utaita utabiri!?
 
Back
Top Bottom