Kama kutabiri ni kupenda, basi na wewe penda kutabiri hayo ambayo unadhani hayajatabiriwa ili iwe sawa!Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.
Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.
Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”
Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.
Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”
Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.
Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Wengi wanaotabiri mabaya huwa wamependa wenyewe tu, sawa na watabiri wa mechi za mpira; sio kwamba wameongozwa na Mungu. Ndiyo sababu mautabiri yao huwa hayatimii.Kama kutabiri ni kupenda, basi na wewe penda kutabiri hayo ambayo unadhani hayajatabiriwa ili iwe sawa!
Ukimuomba Mungu sio lazima akujibu "Ndiyo". Anaweza pia kukujibu "Hapana"Usinivuruge Niko Kwenye Maombi Yakumuomba Mungu Alete Tetemeko Liizamishe Na Kuimeza Tz.
Maana Nchi Imeshapotelea Gizani,hakuna Matumaini.
That’s an idea worth chewing onJe, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.
Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.
Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”
Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.
Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”
Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.
Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Mkuu, tetemeko likiizamisha Tz, wewe na watoto wako na ndugu zako si mtazama wote? Au maombi yako unayafanyia Ubelgiji?Usinivuruge Niko Kwenye Maombi Yakumuomba Mungu Alete Tetemeko Liizamishe Na Kuimeza Tz.
Maana Nchi Imeshapotelea Gizani,hakuna Matumaini.
Msiba Wa Wengi Ni Sherehe.Mkuu, tetemeko likiizamisha Tz, wewe na watoto wako na ndugu zako si mtazama wote? Au maombi yako unayafanyia Ubelgiji?
ugumu wa maisha na kuendekeza ushirikina 🐒Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.
Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.
Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”
Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.
Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”
Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.
Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Really?Msiba Wa Wengi Ni Sherehe.
Kuliko Mateso Na Kero Za Tz.
🙂Not really. Anaongea tu kwakuwa hajakumbwa na msiba wa wengi
Mambo mabaya hufurahisha.Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.
Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.
Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”
Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.
Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”
Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.
Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Ulivyomaliza maombi yako, Mungu alikujibu nini?
Prophets of doom ni wengi wanaongozwa na LemaJe, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.
Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.
Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”
Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.
Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”
Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.
Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Ongeza na hii; utabiri unapamba moto kipindi cha uchaguzi. Manabii wanaudhalilisha sana Ukristo🙌🙌Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.
Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari habari za mtu mmoja maarufu, jinsi alivyoitabiria mema nchi yake na ikawa hivyo. Mtu huyo anaitwa Ezekieli.
Ezekieli aliingiwa na nguvu ya Mungu, roho yake ikanyanyuliwa na kuwekwa katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Akatembezwa kila mahali katika bonde hilo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde hilo, na mifupa ilikuwa mikavu kabisa. Mungu akamuuliza:, “Wewe Ezekieli! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Ezekieli akamjibu, “Ee Bwana Mungu, wewe wajua!” Mungu akamwambia “Toa unabii juu ya mifupa hiyo. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi Mungu. Bwana Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu.”
Ezekieli akatoa unabii kama alivyoamriwa. Alipokuwa akitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Akatazama, akaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Ila haikuwa hai. Mungu akamwambia tena auambie upepo, uje na kuipuliza miili iliyokufa ili ipate kuishi. Ezekieli akafanya kama Mungu alivyomwamuru, nayo pumzi ikaingia ndani ya miili hiyo ikawa hai, ikasimama, kundi kubwa ajabu.
Kisha Mungu akamwambia “Ezekieli, mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wanalalamika kwamba mifupa yao imenyauka, matumaini yao yamepotea; wanakiri kwamba wamekwisha kabisa. Kwahiyo toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi Mungu nimesema, nami nitafanya hayo.”
Utabiri au unabii huo ulitimia kabisa 100%.
Anza leo na wewe kuitabiria nchi yako mambo mema. Ibariki nchi yako, usiilaani.
Yaani asiejua kwamba ukila unaenda chhoni nani!? Huo nao utaita utabiri!?Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima.