NIKO Ambaye NIKO,Ameniambia "Tulia Mwanangu,kilio Chako Na Watanganyika Wote ,wakiwapo TEC
Kimenifikia Katika Kiti Changu Cha Enzi,nami Nitawaonyesha Ukuu Wangu Hao Wenye Mioyo Migumu "
MWISHO WA KUNUKUU.
Ingekuwa kila anayeomba anajibiwa kirahisi namna hiyo, maskini wasingekuwepo duniani.
Okay, kama umesema kweli, Mungu anajua; na kama umesema uongo kumbuka waongo sehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto (Ufu 21:8)