Kwanini watu wanapinga BBT ya Bashe

Kwanini watu wanapinga BBT ya Bashe

Wakukaya2

Member
Joined
Apr 26, 2023
Posts
75
Reaction score
87
Rais mmoja wa Marekani wakati wa mradi wa Tenesee Dam Construction aliwahi kukumbwa na upingwaji mkubwa sana na watu mbalimbali juu ya mradi ule, lakini wengi ya walio ukosoa ilikuwa ni uwoga tu.

Akasema "The only thing to fear it's fear itself". Ni kweli na kila Marekani anajua umuhimu wa mradi ule, na Rais Yule amekuwa mmoja wa marais Bora kuwahi kupatikana katika historia ya USA, wapo watu wanapinga sana BBT ya Bashe na Rais wetu, wakihofia matokeo kuwa hasi, wakati huo wakisema Malaysia na nchi nyingine zimefanikwa ila si kwa Tanzania.

Mimi kwangu ni hapana, kwa sababu kila stori ya mafanikio nyuma yake Kuna kufeli kwingi na makosa mengi, hatuhitaji kuwa na hofu ya kufeli, tunahitaji kutengeneza makosa mengi as we can ili mradi tufike, wabongo wengi tunapenda kusikiliza na kusoma successful story, ambazo hazikupi upande wa wapi walifeli, lakini Malaysia na hizo nchi nyingine kunasehemu walifeli na wakajiuliza baadae wakaja na stori hii ya mafanikio.

Kwangu namwambia Rais Samia piga kazi usiogope rejections, hata ukiwa rejected millions times, don't give up. Ask yourself if not you then who and if not now then when, the time for positive change is now and it begins with you and I.
 
Uwoga wetu ni moja tu

Ufisadi kwenye miradi kama hiyo
 
Binafsi ....Waziri Bashe ni moja viongozi wachache waliopo CCM ninaowakubali ( ni presidential material), mradi wa BBT afanye awezalo usiwe na dosari na usi fail ... Ni mradi utakao mwinua au kumdondosha kisiasa! All the best H.Bashe
 
Kwani Kuna jambo Gani la maana analolifanya?

Kugawa rasilimali kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji??
 
Back
Top Bottom