BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Tunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ? wanatumia usaidizi wa jeshi, usalama n.k
Upande wako Msomaji unataka nani asimame atetee uhai wa wenzetu wanaokamatwa na kuuwawa Kwa kutoa maoni yale yasiyopendwa na Serikali. Hawa watekaji wakimalizana na Wapinzani,Wanaharati, watahamia Kwa wananchi wasio na vyama na Wana CCM watauana wenyewe kwakuwa UPINZANI utakuwa miongoni mwao. Kwanini tuache nchi yetu,iwe chini ya utawala wa kiimla usio na Sheria?
Na wenzetu waliopewa majukumu ya kuuwa Kwaajiri ya kulinda maslahi na utawala wa Viongozi wao,Wanaelewa ukubwa wa laana na kisasi na adhabu inayo ambatana na kumwaga damu isiyo na Hatia? Ni swala linalomgusa Mungu Moja Kwa Moja ( Mithali 6:16-19)
Wake-up Tanzanian,We are under siege!