Sasa hivi tuko kwenye enzi za jamuhuri na demokrasiaTangu dunia iumbwe wenye madaraka wanalinda madaraka yao kwa hali yoyote tangu enzi za machief kuna watu waliuwawa kwasababu wanampiga chifu
Kwahiyo ukiamua kupambana na system hakikisha uko tayari kwa lolote usitegemee mambo yatakua malaini
Psychopathskwa sababu watawala wengi wanamagonjwa ya akili
nilidhani utasema ni nini kifanyike au jinsi gani tunaweza kufanya ili kuweza kuwapata au kukomesha kinachoendelea sasa. Lakini pia umeleta malalamiko yaleyale with no action plan. Be the change you wish to see in the worldTunasubiri nani atekwe ndio tuelewe hatuko salama Tanzania? Kwanini tumekuwa wanyama kiasi hiki? Kwanini hoja zinajibiwa Kwa risasi? Elimu zetu na zikoje mpaka watu wanashindwa kujibu Kwa hoja ? wanatumia usaidizi wa jeshi, usalama n.k
Upande wako Msomaji unataka nani asimame atetee uhai wa wenzetu wanaokamatwa na kuuwawa Kwa kutoa maoni yale yasiyopendwa na Serikali. Hawa watekaji wakimalizana na Wapinzani,Wanaharati, watahamia Kwa wananchi wasio na vyama na Wana CCM watauana wenyewe kwakuwa UPINZANI utakuwa miongoni mwao. Kwanini tuache nchi yetu,iwe chini ya utawala wa kiimla usio na Sheria?
Na wenzetu waliopewa majukumu ya kuuwa Kwaajiri ya kulinda maslahi na utawala wa Viongozi wao,Wanaelewa ukubwa wa laana na kisasi na adhabu inayo ambatana na kumwaga damu isiyo na Hatia? Ni swala linalomgusa Mungu Moja Kwa Moja ( Mithali 6:16-19)
Wake-up Tanzanian,We are under siege!
Inaonyesha una Elimu ya makaratasi,Ile kwamba nimeamka na kulisemea hili na kuwataka wote tutumie simu na kalamu zetu kupigania wenzetu.sio lazima nasisi tuanze kuteka Askari/ Usalama,lakini njia ya Kila mtu kuchangia mada na kuanzisha mada inaonyesha tunakerwa na hili tatizo.humu Jf topic zinazo trend sio za watu kuuwawa na kupotezwa/ kutekwa,ni za vitu vya Hovyo,ngono,mipira,uchawa etc.nilidhani utasema ni nini kifanyike au jinsi gani tunaweza kufanya ili kuweza kuwapata au kukomesha kinachoendelea sasa. Lakini pia umeleta malalamiko yaleyale with no action plan. Be the change you wish to see in the worldin
Ni kweli nimeona,ila haitoshi,trend za mambo ya Hovyo humú Jf inaonyesha hatuko sensitive na maswala Muhimu,miaka kumi iliyopita Jf ilikuwa Ina shape Serikali,siku hizi imekuwa uwanja wa burudani, Machawa,kupinga Hoja za Maana Kwa kejeri na Matusi.TubadilikeWa Tz wameanza kuamka, huko Simiyu jana wananchi wameandamanaa had kituo cha polisi, walifunga bara bara.
DC Na baadhi ya viongozi walijeruhiwa.