Kwanini watu wazima mnasinzia sinzia ovyo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa yanawachosha Sana kiasi hicho
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kua uyaone mdogo wangu..utu uzima huu kazi sana ..mie karibu kila.siku usingiz unakata saa8 nakuwa macho tu saa11 najinyanyua kwenda kwenye majukumu..yan nadhan na mfumo tu wa maisha usitucheke aisee... kuwa kwanza na familia utakuja elewa๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa yanawachosha Sana kiasi hicho
Dogo kua uyaone mdogo angu ile sio kusinzia anawaza kesho akitoka ataacha nini mezani[emoji2][emoji2]
 
We bwanamdogo na sisi wakati fulani tulikuwa kama wewe,.kua tu utayaona!
 
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa yanawachosha Sana kiasi hicho

Usiku wazee huwa hawalali kama vijana kwa hiyo wanakuwa wamebakiza usingizi, halafu wazee wengi hutumia dawa ambazo huwachosha mwilini pamoja na akili kuchoka basi huwa na usingizi mara kwa mara
 
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa yanawachosha Sana kiasi hicho
Siku moja we mvizie kwenye dirisha la chumba chake halafu umle chabo ndo utajua anasinzia kwa sababu gani.
 
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa yanawachosha Sana kiasi hicho
Wewe ni mtoto?
 
Maongezi ya ucku kuacha yale wanafanya wasilale, mawazo ya kifamilia na Majukumu mbali mbali ya kindoa
 
Dogo kua uyaone mdogo angu ile sio kusinzia anawaza kesho akitoka ataacha nini mezani[emoji2][emoji2]
Hii hatua ngumu sana,yani unakuta watu zaidi ya watano wanakutegemea na kukutizama wewe. Kama huna kitu mfukoni,unaweza ukajikuta unaongea mwenyewe barabarani
 
Kodi nadaiwa ,Mchepuko unamimba ,Mke wa MTU ana mimba mumewe kajua,wife ana gubu, usiku silali ,unadhan sitasinzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ