ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Shikamooni kwanza,me naomba kuwauliza baba zangu Kwanini mnalala lala kama nyau.yaani tukikaa na baba yangu sehemu tukitulia dakika nne nyingi ataanza kusinzia.sasa Ni mawazo gani huwa yanawachosha Sana kiasi hicho