Kwani kwa Mtu mzima kama ikitokea amejamba kwa bahati mbaya au hata nzuri vile vile mbele ya Watoto akikiri tu au akisema kuwa Mjambaji ni Yeye na asitafutwe Mwingine kuna Kosa lolote au ni Dhambi mpaka wengi Wao hupenda sana Kuwasingizia Watoto ambao Kiuhalisia hawajajamba?
Naamini Mjadala huu Maalum kabisa utajibiwa na wote hapa nikiamini hakuna ambaye huwa Hajambi labda awe ni Malaika tu.