Kwanini watu wengi hawapendi mafanikio ya wengine?

Mathiasyusuph

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
53
Reaction score
68
Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU?

Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu.

Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
 
Hizi tabia zimekidhili sana ktk jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
Ukiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana.
 
Roho mbaya tu na roho mbaya huwa haina sababu za msingi.
 
Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU?

Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu.

Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.

Unajua naona kama mimi kuanzia juzi nilipotoka kwenye mbuga nimevuna magunia mawili ya mpunga lakini akina mama zakaria hawanisalimii tena na wamewakataza akina zakaria kuja hapa kwetu sijui sasa itakuaje
 
Mwanadamu kwa asili hasa sisi waafrika tumejaa mioyo yenye wivu. Inwezekana hata wewe inone point or another umemuonea mtu wivu.
 
Back
Top Bottom