Mathiasyusuph
Member
- Jul 13, 2021
- 53
- 68
Ukiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana.Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU?
Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu.
Hizi tabia zimekidhili sana ktk jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
Yaani mpaka MTU anaenda kwa mganga ili akuangamizeUkiona unachukiwa kwa mafanikio,we kaza buti,maana mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa kwa mawe na virungu!Kama utataka kupendwa utakaa sana.
Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU?
Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu.
Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
Hapo ndio maisha yanaponoga sasaYaani mpaka MTU anaenda kwa mganga ili akuangamize
Haya mambo yapo sana tena wengine unakuta ndugu wa damuHapo ndio maisha yanaponoga sasa