Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

Mtihani wangu wa kwanza wa hisabati form one nilipata 8, kwa kweli toka siku hiyo nilikata tamaa, anyway kwa sasa kila navoenda kulala napitia pitia Econometrics
 
mmmh!! hisabati tena!!! mie niliziachia la7 and i was good on it, ila kufika sec miezi mi4 hakuna mwl wa hesabu, mwl kupatikana akawa anaongea na ubao anaandika alafu anasoma alichoandika, ukiongezea na kiinglish tena mara jumlisha kawa plus/addition nk.

mweeee mtihani kutoka nikapata 30 nilitandikwa viboko havina idadi, yaani mzuka wa hisabati ukaishia hapohapo. ukiniuliza mada zilizofuata hata sijui
 
Pole Jodoki, lakini bado tunapaswa tufikirie ni jinsi gani tufanye vijana wetu walipende somo hili bila kujali vikwazo kama ulichokutana nacho. Kumbuka hata maisha nayo huwa hostile sana lakini hayatuzuii kupambana nayo. Wakati mwingine kejeri, viboko, kubezwa zaweza kuwa nguvu za kutuchochea kufanya vizuri.

Ni kweli especially kwa mtu ambae yupo interested ila nina amini kama mtu shule ya msingi alianza vizuri kila kitu kinawezekana, tatizo kwenye hisabati tumetanguliza neno kushindwa na kweli linawashinda wengi.

Kama vyuo vyetu kama wahadhiri wangekomaa hasa kwenye zile course the application za hisabati kwa zile kozi za watu ambao sio scientist nadhani kila chuo kingekuwa kinajaza mabewa ya watu wanarudi kufanya sup kama sio kurudi nyumbani maana watu walijengwa ukisoma HGL au sijui comb gani hisabati ndio basi alafu unafika chuo unakutana kuna baadhi ya subject zina application za hisabati za form 2 lakini bado watu hawaoni ndani
 
mmmh!! hisabati tena!!! mie niliziachia la7 and i was good on it, ila kufika sec miezi mi4 hakuna mwl wa hesabu, mwl kupatikana akawa anaongea na ubao anaandika alafu anasoma alichoandika, ukiongezea na kiinglish tena mara jumlisha kawa plus/addition nk. mweeee mtihani kutoka nikapata 30 nilitandikwa viboko havina idadi, yaani mzuka wa hisabati ukaishia hapohapo. ukiniuliza mada zilizofuata hata sijui

Pole atoto kwa hayo yaliyo vunja mapenzi yako kwa hesabu, nilicho kipata kutoka kwako ni kwamba mbinu za ufundishaji na uhamasishaji kwa wanafunzi inapaswa ibadilike. Kupiga viboko huoni kama ni suluhisho na kukosekana walimu wenye mapenzi ya hesabu na uhamasishaji wa somo uboreshwe.

Tusubiri walimu wetu waseme
 
Wadau msingi ndiyo kila kitu
Walimu wa msingi wana jukumu kubwa la kuhakikisha hisabat linakuwa somo pendwa
 
daah wachanijue kutoa na kujumlisha maana kama mtu amefeli kidato cha nne ile mihesabu itamsahidia nini kwamfano. matrixs.. sijui log kama sio wehu nin?... Hesabu ni kipaji tu wengine tumenyimwa bwana dada kapata hesabu A n history ana F
 
Wadau msingi ndiyo kila kitu
Walimu wa msingi wana jukumu kubwa la kuhakikisha hisabat linakuwa somo pendwa

mmh! mie mwl wangu wa msingi alijitahidi sana kwakweli na kwa wakati ule nilikuwa cpati chini ya 47/50, shida ikaja sekondari ndipo mambo yalipoharibikia
 
Mathematics ilinishinda senior two yani mpaka leo nikiona sipendi labda hizi kujumlisha, zidisha, gawanya, toa ndo naziweza
 
daah wachanijue kutoa na kujumlisha maana kama mtu amefeli kidato cha nne ile mihesabu itamsahidia nini kwamfano. matrixs.. sijui log kama sio wehu nin?... Hesabu ni kipaji tu wengine tumenyimwa bwana dada kapata hesabu A n history ana F

Kumbuka sio kila aina ya hesabu inatumika katika kila nyanja, bali kila nyanja inatumia hesabu kwa namna fulani. Jiwe Gangi wewe unafanya shughuli gani ambazo hazihitaji hesabu/hisabati, sio kuhesabu.
 
Mathematics ilinishinda senior two yani mpaka leo nikiona sipendi labda hizi kujumlisha, zidisha, gawanya, toa ndo naziweza

Tojo jaribu kukumbuka mambo yaliyosababisha Mathematics zikushinde na kwa kutambua umuhimu wake katika jamii na uchumi wetu uweze kutoa ushauri kwa kijana anayekaribia kufanya kosa ulilolifanya ukiwa senior two.
 
mmh! mie mwl wangu wa msingi alijitahidi sana kwakweli na kwa wakati ule nilikuwa cpati chini ya 47/50, shida ikaja sekondari ndipo mambo yalipoharibikia

Atoto unashauri nini kwa wasichana ambao wako vizuri katika hisabati wakiwa primary watakapofaulu kwenda sekondari na kukutana na yaliyo kusibu
 
ukishajua +, -, * Na / inatosha.

Kuku wa kienyeji hizo ni kama kujua a, e, i, o, u hazitoshi kutengeneza sentensi lazima uzijue pia a, b, c, ... z. Kuhesabu ni tofauti sana na hisabati. Tupe mfano wa shughuli zako tuangalie kama zinaweza kukwepa matumizi ya hisabati.
 
Atoto unashauri nini kwa wasichana ambao wako vizuri katika hisabati wakiwa primary watakapofaulu kwenda sekondari na kukutana na yaliyo kusibu


walimu wajitahidi kujenga mazingira rafiki kwa wanafunzi kupenda somo hilo, lkn pia walimu wawe ni wale waliobobea ktk somo husika na ualimu pia, maana kumfundisha mtu mpaka akuelewe ni kipaji pia
 
xo kama math's iko hard xema imezoeleka hivo bt guyz "u can achive anything if u believe" n if u wanna b sumbad,if u wana go sum wea u better wakeup n pay attention"! mbna maths iko normal2 az biology xema bios notes nyng n math number nyng
 
Write the distance of any point of a line Y=mx c from the origin as a function of x , hence find the coordinate of the point on the line Y=2x 5 which is closest to the origin.

naombeni msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom