Kwanini watu wengi huona aibu kujamba mbele ya wapenzi wao?

Kwanini watu wengi huona aibu kujamba mbele ya wapenzi wao?

Ukishindwa kujamba mbele ya mpenzi wako basi we mnafiki... Ushuzi kitu gani.Watu wanakata gogo huku wameacha mlango wazi...khaaa
 
Ukishindwa kujamba mbele ya mpenzi wako basi we mnafiki... Ushuzi kitu gani.Watu wanakata gogo huku wameacha mlango wazi...khaaa
Upo sahihi.mimi nikiwa chooni mpenz wangu huja kunitazama na ndivyo alivyozoea hata kujamba hujamba na mimi hujamba tena sometime ananiambia baby jifunike shuka mara unasikia kijambo... hahaha so funny
 
Tatizo la vishuzi havina adabu ukiwa na mwenzio utavibana kwa hali na mali ila ukilala sasa usiku vinajitokea tu kadri vinavyoweza sasa kama mwenzako bado hajapata usingizi atateseka mno
 
Mkuu njoo unijambie na mm Gheton kwang[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom