Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Watu wa Dar waume kwa wanawake ni kama watu wa familia moja. Walio wengi wanaumbo mviringo kama kiazi ulaya!

Ningumu kujua kama mtu wa Dar anakwenda au anarudi, ngumu kujua mgongo ni upi na tumbo na kifua ni vipi .Miili Yao imeunganika kama matikiti maji.

Shida ni nini hapo Daslamu?
 
Hii ni Tanzania nzima, sio Dar tu.

Mtindo wa maisha ni wa kushindia nafaka kama wali, ugali na chapati.

Pirika pirika za utafutaji haziruhusu muda wa kufanya mazoezi. Pia hatuna utamaduni wa mazoezi.

Mwisho ni imani potofu kwamba unene ni "mwili wa kiutu uzima" na mwanamke mnene ni mrembo kwasababu ya makalio yake makubwa.

Ukifikisha umri wa makamo(35-50) bila kiriba tumbo una bahati.
 
Huyo atakuwa Mwijaku
 
"na mwanamke mnene ni mrembo kwasababu ya makalio yake makubwa."


Hili huwa linashangaza sana
 


RRONDO
 
Huyu kwenye picha ni AI au IA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…