Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

Daah mkuu umeongea ukweli mamtu ya Dar kama msukule ndugu yangu na yanaona fresh tuu
 
Hotel za ushuani watakuambia kuna:
Nyama choma ya mbuzi, kuku, ng'ombe, samaki, nk
Hotel za uswazi watakuambia kuna:
Wali, ugali, ndizi, pilao, mihogo, nk
Sasa chakula cha bei rahisi ni huku uswazi, na ndiyo maisha ya tulio wengi.
Obesity is inevitable!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…