Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia?
Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na wamekuwa wakipewa nafasi kubwa hata na Rais mwenyewe kama kuutambua uwepo wao kwenye matukio kama watu muhimu
Inamaana ndani ya CCM ndiyo vichwa kwa kizazi cha sasa?
Njoo sasa kwenye vijana wa Upinzani, nazani hata michango na uchambuzi unaotolewa humu ndani ya jukwani wa kuaminika tofauti na vijana wa CCM ambao huwezi kusoma ukakimaliza alichokiandika zaidi utakuta wamejikita na kumsifia Raisi
Tunaitaji mabadiliko CCM imechoka kila sehemu