Mfumo unawataka wawe hivyo.Jamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia?
Mfano Dotto magari,Mwijaku na wengine wengi,yaani ukisikiliza wanachoongea hakina maana na wamekuwa wakipewa nafasi kubwa hata na Rais mwenyewe kama kuutambua uwepo wao kwenye matukio kama watu muhimu
Inamaana ndani ya CCM ndiyo vichwa kwa kizazi cha sasa?
Njoo sasa kwenye vijana wa Upinzani, nazani hata michango na uchambuzi unaotolewa humu ndani ya jukwani wa kuaminika tofauti na vijana wa CCM ambao huwezi kusoma ukakimaliza alichokiandika zaidi utakuta wamejikita na kumsifia Raisi
Tunaitaji mabadiliko CCM imechoka kila sehemu
AhsanteHuwezi kujenga hoja iwapo tumbo ndio linaamua uongee nini? Vijana wengi wa upinzani wanatumia ubongo kujenga hoja.
Ndiyo ile hadithi ya ubongo wa mwafrika ukauzwa bei kubwa na wa mzungu bei kalibu ya bure,kisa ubongo wa vijana wa CCM hautumikagi upo tu kuishia kusema mama anaupiga mwingiUkiwa CCM maana yake umefungwa akili zako ,umefungwa miguu yako,umefungwa mikono yako,umefungwa macho yako tafsiri yake utaenda kaburini hata 2/3 ya ubongo wako haujafanya kazi CCM ni hatariiiiiiiiii
Tangu lini chawa akawa na hoja, chawa ni mdudu mchafu sanaJamani naombeni kuuliza,kwa nini watu wengi wanaoishabikia CCM hawajui kujenga hoja zaidi ya kusifia?