Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
Watu wengi wanapenda kusikia habari za:
Uchawi,
Uzinzi,
Uzushi,
Migogoro ya ndoa,
Vita na mapigano,
Watu maarufu wakikosea,
na za walokole "wakiteleza."
Lakini ukiwapa habari njema za Yesu na uzima wa milele,
wanakasirika,
wanatukana,
au wanaziba masikio kabisa!
KWANINI?
Uchawi,
Uzinzi,
Uzushi,
Migogoro ya ndoa,
Vita na mapigano,
Watu maarufu wakikosea,
na za walokole "wakiteleza."
Lakini ukiwapa habari njema za Yesu na uzima wa milele,
wanakasirika,
wanatukana,
au wanaziba masikio kabisa!
KWANINI?