Watu ni wa milele,Nani aliwahi kuwa na uzima wa milele??!! Tunaishi tunakufa. Hakuna uzima watu milele.
Siwasemei. Ni ukweli mtupu kwamba watu wengi wanapenda kusikia habari hizo nilizozitaja mwanzoni. Nimejionea mwenyewe humu jinsi watu wanavyo-respond.Jisemee wewe usiwasemee watu, hizo ndio akili zako na ndiyo mambo unapenda sikia.
Yuko wapi??Yesu alikufa akafufuka. Na sasa yuko hai milele.
Unatumia akili??Watu ni wa milele,
Ila miili ya watu ndio huchakaa, kuzeeka na kufa na kuoza.
Uliza swali utajibiwa.Unatumia akili??
Unatumia akili??Yuko mbinguni, anatuandalia makao ya kuishi milele
HujanijibuUliza swali utajibiwa.
Yuko mbinguni kwa BabaYuko wapi??
Nimejibu Watu ni wa milele,ila miili yao ndiyo huchakaa, kuzeeka Kisha kufa.Hujanijibu