Kwanini Watu wengi wanapotuma Voice Note wanarudia kuzisikiliza tena na tena?

Kwanini Watu wengi wanapotuma Voice Note wanarudia kuzisikiliza tena na tena?

Ni tabia zetu binadamu tu , haina tofauti na kuchokonoa pua ilihali haiwashi. Unakuta binti mrembo yupo busy na pua yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom