Kwanini Watu wengi wanapotuma Voice Note wanarudia kuzisikiliza tena na tena?

Huwa wanahisi sauti zao mbaya
 
Ni tabia zetu binadamu tu , haina tofauti na kuchokonoa pua ilihali haiwashi. Unakuta binti mrembo yupo busy na pua yake mwenyewe.
 
Sijawahi kufanya huo ujinga, nikituma nimetuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…