Kwanini watu wengi wanauza Toyota Altezza?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Yapo magari mengi yanayouzwa ilakwa siku za karibuni nimeona watu wengi wakiuza Toyota Altezza kwa bei nafuu tena yakiwa ya hivi karibuni.

Nini tatizo la hili toleo?
 
Alteza, Brevis, Mark X, Gx 100, Subar Forester Vyuma kukaza ndio chanzo cha kuuzwa kama njugu kutokana na wamiliki kushindwa kuhimili matumizi yake ya mafuta. Yaaani mpaka Mil 3 unapata gari hapo saaaaafi.
Hii hoja naiunga mkono. Uchumi umebana maisha ya show off za magari kwa baadhi ya watu yanawashinda...
Sasa hivi Passo ya pistons 3 inapewa heshima mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiiona tezza ya m 3 iliyosimama naomba unishtue mkuu
Alteza, Brevis, Mark X, Gx 100, Subar Forester Vyuma kukaza ndio chanzo cha kuuzwa kama njugu kutokana na wamiliki kushindwa kuhimili matumizi yake ya mafuta. Yaaani mpaka Mil 3 unapata gari hapo saaaaafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…