Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji38][emoji38]Uchagani ukienda na Passo na mwenzio akaja na Toyota Stout..mwenye stout ndio atapewa mke, usijiulize sana kwanini ila zingatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38]Uchagani ukienda na Passo na mwenzio akaja na Toyota Stout..mwenye stout ndio atapewa mke, usijiulize sana kwanini ila zingatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malizia stout dume kamandaUchagani ukienda na Passo na mwenzio akaja na Toyota Stout..mwenye stout ndio atapewa mke, usijiulize sana kwanini ila zingatia🤣🤣🤣
Hio hio mzee.Malizia stout dume kamanda
Gari ya miaka 20 iliopita unategemea iuzwe bei gani? Ni sawa na gx100
Alteza, Brevis, Mark X, Gx 100, Subar Forester Vyuma kukaza ndio chanzo cha kuuzwa kama njugu kutokana na wamiliki kushindwa kuhimili matumizi yake ya mafuta. Yaaani mpaka Mil 3 unapata gari hapo saaaaafi.
Malizia stout dume kamanda
Mkuu wiki iliyopita nilikuwa Mbinga kule naona kuna watu wanapenda sana Gx100 na Alteza.Ipo GX 100 Kinyerezi namba BXL ... M 3.2 imenyoooka vibaya. Kama uko siriaz sema
Ile probox hivi bado unayo?Binafsi naona hamna la zaidi, ni kwamba fashion yake imeisha. Sahivi trend ni Toyota Crown Athlete.
Pia naona Rumion nayo inakuja juu sokoni.
Sio Probox, ni Ferrari ya mjapan a.k.a Opa yeah nakomaa nayo! Engine yake na body still ziko vizuri sana mpaka nasikia wivu hata kumuuzia mtu. Kuna afande alijaa alitaka kunipa 6M nikachomoa. 🤣🤣🤣Ile probox hivi bado unayo?
Ok, hizo gari sijui kwanini huwa ni chache?Sio Probox, ni Ferrari ya mjapan a.k.a Opa yeah nakomaa nayo! Engine yake na body still ziko vizuri sana mpaka nasikia wivu hata kumuuzia mtu. Kuna afande alijaa alitaka kunipa 6M nikachomoa. 🤣🤣🤣
Eeh ni ile gari unachukua kwa mtu anayejua nini maana ya gari. Huezi amini jamaa alikuwa kaifunga viatu vya michelin low profile, service anafanya kwa wakati ndani iko clean sana full unyunyu yani.Ok, hizo gari sijui kwanini huwa ni chache?
Kwani na ww si ulichukuaga kwa mtu?
Fuel consumption?Eeh ni ile gari unachukua kwa mtu anayejua nini maana ya gari. Huezi amini jamaa alikuwa kaifunga viatu vya michelin low profile, service anafanya kwa wakati ndani iko clean sana full unyunyu yani. Jamaa ni kitengo cha marketing tigo so hela sio ya mawazo halafu ana gari zaidi ya moja hivyo gari hakuichakaza sana kimsingi ilikuwa kama zali. Kitu ambacho kilikuwa cha walakini ni gas ya AC ndio ilikuwa kidogo so ikanibidi nikajaze ila gari ni clean in/out!
Mie ndio naichakaza sasa.😂
Fuel consumption 8km/l town trip ila highway napata around 14kml/l! Sijagusa jiko ila nadhani nikitia plug mpya za denso nta boost consumption ya ruti za town.Fuel consumption?
Haya bana,
naona sasa na wale watu 😀😀 ni kugusa tu.
Chukua vitz itakufaa nenda pale mwenge katalunya utapata kwa bei nzuri alafu hakuna mambo ya kulipia license siku hizi tunakata tunavyonunua mafuta so hapo ukinunua kwa mtu unaweza pata bahati ameishaikatia bima so we garama yako ni service ya kwanza tu utamwaga oil ya engine na hydrolic ucheki na mataili kama huna ela unaweza kukomaa nayo hayo hayo ila uwe muangalifu yasije kupasuka yakakuuaKaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).
Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?
Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)
Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!