Kwanini watu wengi wanauza Toyota Altezza?

Kwanini watu wengi wanauza Toyota Altezza?

Uchagani ukienda na Passo na mwenzio akaja na Toyota Stout..mwenye stout ndio atapewa mke, usijiulize sana kwanini ila zingatia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38]
 
Gari ya miaka 20 iliopita unategemea iuzwe bei gani? Ni sawa na gx100

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo? Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence). Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Alteza, Brevis, Mark X, Gx 100, Subar Forester Vyuma kukaza ndio chanzo cha kuuzwa kama njugu kutokana na wamiliki kushindwa kuhimili matumizi yake ya mafuta. Yaaani mpaka Mil 3 unapata gari hapo saaaaafi.

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je, naweza kupata kweli kwa bei hiyo? Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Malizia stout dume kamanda

Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
 
Sio Probox, ni Ferrari ya mjapan a.k.a Opa yeah nakomaa nayo! Engine yake na body still ziko vizuri sana mpaka nasikia wivu hata kumuuzia mtu. Kuna afande alijaa alitaka kunipa 6M nikachomoa. 🤣🤣🤣
Ok, hizo gari sijui kwanini huwa ni chache?
Kwani na ww si ulichukuaga kwa mtu?
 
Ok, hizo gari sijui kwanini huwa ni chache?
Kwani na ww si ulichukuaga kwa mtu?
Eeh ni ile gari unachukua kwa mtu anayejua nini maana ya gari. Huezi amini jamaa alikuwa kaifunga viatu vya michelin low profile, service anafanya kwa wakati ndani iko clean sana full unyunyu yani.

Jamaa ni kitengo cha marketing tigo so hela sio ya mawazo halafu ana gari zaidi ya moja hivyo gari hakuichakaza sana kimsingi ilikuwa kama zali. Kitu ambacho kilikuwa cha walakini ni gas ya AC ndio ilikuwa kidogo so ikanibidi nikajaze ila gari ni clean in/out!

Mie ndio naichakaza sasa.😂
 
Eeh ni ile gari unachukua kwa mtu anayejua nini maana ya gari. Huezi amini jamaa alikuwa kaifunga viatu vya michelin low profile, service anafanya kwa wakati ndani iko clean sana full unyunyu yani. Jamaa ni kitengo cha marketing tigo so hela sio ya mawazo halafu ana gari zaidi ya moja hivyo gari hakuichakaza sana kimsingi ilikuwa kama zali. Kitu ambacho kilikuwa cha walakini ni gas ya AC ndio ilikuwa kidogo so ikanibidi nikajaze ila gari ni clean in/out!

Mie ndio naichakaza sasa.😂
Fuel consumption?
Haya bana,
naona sasa na wale watu 😀😀 ni kugusa tu.
 
Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).

Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?

Kati ya gari hizo ndogo unanishauri nitafute ipi (ukizingatia sijawahi kumiliki gari)

Natafuta gari ya mizunguko hapa mjini Dar. Kwenda UDSM, kurudi nyumban, kwenda kuwasalimia dada zangu Bunju!
Chukua vitz itakufaa nenda pale mwenge katalunya utapata kwa bei nzuri alafu hakuna mambo ya kulipia license siku hizi tunakata tunavyonunua mafuta so hapo ukinunua kwa mtu unaweza pata bahati ameishaikatia bima so we garama yako ni service ya kwanza tu utamwaga oil ya engine na hydrolic ucheki na mataili kama huna ela unaweza kukomaa nayo hayo hayo ila uwe muangalifu yasije kupasuka yakakuua
 
Back
Top Bottom