Kwanini watu wengi wenye vipara huwa wananyoa mara kwa mara?

Ni wachache sana ambao hukubaliana na hali zao!!,wengi huishi kwa nyoa mara kwa mara nyelwe zinazochipuka kwa pembeni,,nashauri wapewe Bima za kunyolewa
Rooney na hamilton nao wameona waoteshe mywele feki pale.
Upara kovu mkuu.
 
Ni wachache sana ambao hukubaliana na hali zao!!,wengi huishi kwa nyoa mara kwa mara nyelwe zinazochipuka kwa pembeni,,nashauri wapewe Bima za kunyolewa

Kwa sababu nahisi rahisi kunyoa nyelwe zikiwa ndogo nafirkiri. Tatizo nini kwako bro?
 
Ni wachache sana ambao hukubaliana na hali zao!!,wengi huishi kwa nyoa mara kwa mara nyelwe zinazochipuka kwa pembeni,,nashauri wapewe Bima za kunyolewa
Wananyoa kwa sababu wana vipara
 
Pambafu zenu yaani ninyi mnajua vipara tu uko chini vibanda umiza eti Sasa mmeamua kusema napenda staili ya kuacha nywele kumbe viwembe chalii ebu acheni hii story
 
Ni wachache sana ambao hukubaliana na hali zao!!,wengi huishi kwa nyoa mara kwa mara nyelwe zinazochipuka kwa pembeni,,nashauri wapewe Bima za kunyolewa
Yaaan huu uzi wako unafanana na swali hili ikiwa kipara 1 kinanyolewa kwa dakika 3 je vipara 5 vitanyolewa kwa dakika ngapi?
 
Kuhisi kutopendeza, shinikizo kutoka kwa marafiki au mke. Ni wakati mgumu kwa wengi kujikubali wakati kipara kinapoanza kuota maana kwa haraka haraka ni ishara ya uzee sasa kijana kukipata kabla hata ya miaka 35 au 40 kunamfanya ajione hafai na havutii tena.
 
Back
Top Bottom