Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?
ntarudi badae. . .
First marriage is the triumph of
imagination over intelligence.
Second marriage is the
triumph of hope over experience
umebadili signature
ulipata wa ku edit your life? lol
Kwa nini watu wanaiona ndoa kama kitu 'unique' sana?
Ndoa haifanyiki nje ya maisha ya kawaida ya mwanadamu..
Kama ambavyo mwanadamu nje ya ndoa anakosea halikadhalika kutakuwa na kukosana pia..
Na kama vile ambavyo nje ya ndoa kuna furaha obviously kwenye ndoa kuna furaha pia..
Kikubwa usidhani kuingia tu kwenye ndoa maisha yanasimama na kukusubiri..jipange na uende na movie..
Napenda sana comments zako.
Mimi nasikitika sana watu wanavyo potray ndoa humu tokana na personal misfortune zao (binafsi) ambazo zingeweza kuwakuta hata wangebaki single.
Ndoa ni maisha kama maisha mengine. Kuingia kwenye ndoa haina maana kuwa maisha yana stop au yana change na kuwa kila siku ni honey moon. Mategemeo ya wengi ni kuwa ndoa ni peponi na wana lots of expectation s kumbe ni maisha kama maisha mengine...kuna kununa, kucheka, kula, kulala, na ku sex ofcourse. lol.
Sasa walitegemea kwa kuwa mtu kaoa/kaolewa asinune, asikasirike, acheke tuuuu. Huyo atakuwa binadamu wa kawaida.
happiness is a journey not a destination
Mmh... Mnanifanya nirudi nyuma na haya maamuzi niliyonayo ya kutaka kuolewa...!!