Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Mawazo yetu kabla ya kuoa au kuolewa,
siku zote ndiyo asili ya kujiingiza kwetu,
kwenye MIKENGE tena kiurahisi kabisa.
Oh!! Jamani ameteseka sana!
Afadhari amejikomboa,
ameolewa na bwana,
mwenye uwezo.
Kwa ini isiwe kaolewa na bwana anaye mpenda?
Sasa umeoa?
Umejikomboa bwana!
Kwwa hiyo ukombozi wako uko katika kuoa????
Mi nataka kuolewa na,
mwanaume mwenye pesa,
nyumba na gari,
"Nani wewe? embu niondokee hapa
pamoja na ukweli kwamba,
una tabia nzuri,
You are not my type".
Uchaguzi wa mali siyo mtu mali ikiisha je?
Kam huyo jamaa kachuma kwa kunyonga wake zake je??
"Mi ntaoa mwanamke chuma mji mzima,
kila kitu swafi kabisa,
Hata nikitoka naye kila mtu ana Blow!
Siyo wanawake wenu,
miguu yote ya kushoto!
Takko pasi?!
Ubungo Baridi mzigo!"
Kwako mke ni uzuri wa umbo, tabia si kitu kwako?
Unaoa mke wa kuringishia watu mtaani!!!???
Pengine ni mzuri kweli na hasiti kumwonjesha yeyote yule siri ya uzuri wake?
kazi kwako
Unaoa mke si mwanamke.
Unaolewa na mme si mwanaume.
Wanawake na wanaume wako tele kila kona huko mitaani.