Kwanini watu wengine hawana raha katika ndoa?

Kwanini watu wengine hawana raha katika ndoa?

Mawazo yetu kabla ya kuoa au kuolewa,
siku zote ndiyo asili ya kujiingiza kwetu,
kwenye MIKENGE tena kiurahisi kabisa.


Oh!! Jamani ameteseka sana!
Afadhari amejikomboa,
ameolewa na bwana,
mwenye uwezo.
Kwa ini isiwe kaolewa na bwana anaye mpenda?

Sasa umeoa?
Umejikomboa bwana!
Kwwa hiyo ukombozi wako uko katika kuoa????

Mi nataka kuolewa na,
mwanaume mwenye pesa,
nyumba na gari,
"Nani wewe? embu niondokee hapa
pamoja na ukweli kwamba,
una tabia nzuri,
You are not my type"
.
Uchaguzi wa mali siyo mtu mali ikiisha je?
Kam huyo jamaa kachuma kwa kunyonga wake zake je??


"Mi ntaoa mwanamke chuma mji mzima,
kila kitu swafi kabisa,
Hata nikitoka naye kila mtu ana Blow!
Siyo wanawake wenu,
miguu yote ya kushoto!
Takko pasi?!
Ubungo Baridi mzigo!"


Kwako mke ni uzuri wa umbo, tabia si kitu kwako?
Unaoa mke wa kuringishia watu mtaani!!!???
Pengine ni mzuri kweli na hasiti kumwonjesha yeyote yule siri ya uzuri wake?
kazi kwako


Unaoa mke si mwanamke.
Unaolewa na mme si mwanaume.

Wanawake na wanaume wako tele kila kona huko mitaani.
 
Kuna watu wanazikunja ngumi kabla ya kwenda kufunga ndoa. Sio wote wanaanza ndoa na maisha ya furaha. Na the way mahusiano yalivyo kabla ya ndoa, usitegemee yatakuwa better baada ya certificate ya ndoa. Hapo ndo kitendawili kinapoanzia!
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?
 
Ndo mawazo potofu haya! Unaolewa na Asprin, mnakaa mbagala na ana nyumba ndogo sinza(ni mfano tu, ODM anaishi masaki na wakeze watatu). Anakunywa pombe hadi saa sita mostly. Huko sio kulala nayo kutwa na kuchwa! Manake atoke kazini, apite pombeni, nyumba ndogo ndo arudi,lol
Olewa mwaya, utalala na ile kitu usiku kucha, asubuhi, mchana, jioni, kila siku. Yani hamnaga raha kama hiyo. Wasikutishe hao
 
Last edited by a moderator:
Kweli jamani.Nivyema kwa wanandoa kushirikiana kila jambo,inashangaza uwao napo wanandoa kila mmoja na lwake.Mfano unapita mwaka mzima wanandoa hawajawahi ongozana(kwenda pamoja)kanisani/sokoni/kutembea wote.Kwa wale wenye uwezo wana gari lakini mwanamke hupanda mara moja kwa mwaka n.K Je hapo ndoa hiyo ina amani?.
 
Kwa nini watu wanaiona ndoa kama kitu 'unique' sana?
Ndoa haifanyiki nje ya maisha ya kawaida ya mwanadamu..
Kama ambavyo mwanadamu nje ya ndoa anakosea halikadhalika kutakuwa na kukosana pia..
Na kama vile ambavyo nje ya ndoa kuna furaha obviously kwenye ndoa kuna furaha pia..
Kikubwa usidhani kuingia tu kwenye ndoa maisha yanasimama na kukusubiri..jipange na uende na movie..

You are a GENIUS!
Kwa kuongezea - Ndoa ni maisha katika mkondo tofauti na ule wa maisha ya useja.Kuna kusamehe vitu vingi ili maisha yaende.Inapotokea mmoja analazimika kila mara yeye ndio aachie kumpisha mwenzake na matakwa yake,hii hupelekea masononeko. It has to be a give and take.Ukiwa kwa wazazi wako ni tofauti na kwenye ndoa kwa maana wazazi au ndugu zako wanaweza kukuvumilia kwa mengi kwa sababu mara nyingi matendo yako utakayoyafanya si sawa na yale utakayomfanyia mwenza wa ndoa. Hata ukiyafanya hayatawaathiri kama ambavyo yatamwathiri mwenza wako wa ndoa. Wakikuudhi nyumbani unaweza kuhama ukaenda kukaa peke yako na haitakua na consequences kama kwenye ndoa. Ni kwa msingi huu ndio unakuta kwenye ndoa kunakua na huzuni hasa kama hakuna suluhu ya migogoro.
Tatizo linatokana na " watu wawili kuwa mwili mmoja"!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Ndo mawazo potofu haya! Unaolewa na Asprin, mnakaa mbagala na ana nyumba ndogo sinza(ni mfano tu, ODM anaishi masaki na wakeze watatu). Anakunywa pombe hadi saa sita mostly. Huko sio kulala nayo kutwa na kuchwa! Manake atoke kazini, apite pombeni, nyumba ndogo ndo arudi,lol
We King'asti nikikukamataaaaaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mwananitisha? Mi wiki hii nilikuwa na mfungo wakuomba Mume mwema....Na mikakati kibao nimejiewekea yakutaka kuolewa...Mbona tena mathread haya yananirudisha nyuma? Ahiiiiiiiiiiiiiiiiiii.................
 
kwenye ndoa huwezi kumpata 100% furaha,na ndio mana wanasema kama huko tayari bora usubiri kwanza sababu ni watu wawili mlio ungana kutoka malezi mbali mbali,na kama hukuweza kumstahmilia mwenzio mnaweza mkaishia kuolewa nakuwachwa au kuoa nakuwacha,kuna wanawake wengine wachoyo,au wanaume wengine hawapendi ndugu wa mke basi ilimradi shaghala baghla tuu..
 
Wengi wetu,cku hizi hatujui tunachohitaji bali tuna fanya kwa fashion na ndo maana ndoa tunaziona na MISALABA mizito tucyoweza kuibeba wakati tulichagua wenyewe.
 
Vikipanda wapi??

ulivyotoa like hukujua ya nini haya ndo ujue vijogoo ni nini ila akazaye shingo hakika itavunjika heri mwenye moyo wa kujirudi kuliko mwenye kutu itamgarimu usikurupuke na misemo ya kuzimu na wewe huendani hata na avatar yako
 
Back
Top Bottom