Kwanini watu wengine hawana raha katika ndoa?

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,563
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?
 
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?

Not always the case. In fact, inaweza hata ikawa kinyume na proposition yako. Nadhani ni vizuri kutafsiri maisha ya ndoa kama 'fluctuation of moods', kwa maana kuwa hayawezi kuelezwa kwa uhakika kabisa kwamba yanafuata formula uliyoeleza hapo juu.
 
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?

kwa sababu siku zote umpendaye hakupendi na usiyempenda ndiyo anakupenda sana. Hivyo siku kadhaa baada ya ndoa kila mmoja huonyesha rangi yake halisi, hapo ndipo furaha na amani inaanza kutoweka taratiiiibu. Huo ndiyo ukweli wa ndoa.
 
sio wote wanaingia kwenye ndoa becoz of love
 
Kuna siku mchungaji aliniambia alifungisha ndoa ya waumini wake ambao walikua wanaonekana wanapendana sana lakini wiki moja baada ya ndoa wakarudi kanisani wanataka kuachana.. Ndoa jamani mh zioneni tu hivi kwa wengine
 
Mmh... Mnanifanya nirudi nyuma na haya maamuzi niliyonayo ya kutaka kuolewa...!!
 
Umeandika kama una uhakika na ukisemacho. Je wewe uwa unawafuatilia wana ndoa wote tangu siku ya harusi na maisha yao yote? Au wewe ni counsellor, shekhe mchungajia au padri? Nachouliza umejuaje kuwa ndoa zinapungua furaha siku zinapoenda tena umekuja na figure?
 
First marriage is the triumph of
imagination over intelligence.
Second marriage is the
triumph of hope over experience
 
First marriage is the triumph of
imagination over intelligence.
Second marriage is the
triumph of hope over experience

umebadili signature
ulipata wa ku edit your life? lol
 
Kwa nini watu wanaiona ndoa kama kitu 'unique' sana?
Ndoa haifanyiki nje ya maisha ya kawaida ya mwanadamu..
Kama ambavyo mwanadamu nje ya ndoa anakosea halikadhalika kutakuwa na kukosana pia..
Na kama vile ambavyo nje ya ndoa kuna furaha obviously kwenye ndoa kuna furaha pia..
Kikubwa usidhani kuingia tu kwenye ndoa maisha yanasimama na kukusubiri..jipange na uende na movie..
 
Napenda sana comments zako.

Mimi nasikitika sana watu wanavyo potray ndoa humu tokana na personal misfortune zao (binafsi) ambazo zingeweza kuwakuta hata wangebaki single.

Ndoa ni maisha kama maisha mengine. Kuingia kwenye ndoa haina maana kuwa maisha yana stop au yana change na kuwa kila siku ni honey moon. Mategemeo ya wengi ni kuwa ndoa ni peponi na wana lots of expectation s kumbe ni maisha kama maisha mengine...kuna kununa, kucheka, kula, kulala, na ku sex ofcourse. lol.


Sasa walitegemea kwa kuwa mtu kaoa/kaolewa asinune, asikasirike, acheke tuuuu. Huyo atakuwa binadamu wa kawaida.


 

Ni kweli kabisa nyumba kubwa yaani tumefikia hatua ya kuogopeshana kiasi ambacho ndoa sasa inaonekana kama mzigo wa misumali..Kinachofanyika leo ni kuwa technolojia imekuwa kubwa na upashanaji habari umekuwa mkubwa so tumekuwa informed zaidi. Katika mazingira kama haya lazima pia Ndoa itaathiriwa..hapa nazungumzia simu, mitandao ya kompyuta, na mambo mengine.

Sasa badala ya watu kuona namna gani tunaweza kuishi na ndoa zetu katika ulimwengu huu wa digitali tumekazania kusema ndoa hazifai na tunawa'discourage' hata wanaotaka kuingia ndani. Mwanamke mmoja aliwahi kuniambia kuwa kila mimba ina uchungu wake na mimi nasema kila ndoa ina mambo yake!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…