Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Wengine wakiumwa na wadudu hao mwili unaumuka sana haijalishi ni sehemu gani ya mwili
Wengine wanaumuka ikiwa sehemu iliyoshambuliwa ni usoni pekee
Wengine wanaumuka ikiwa wadudu waliomshambulia na kumdunga ni wengi
Wengine wanavimba kiasi tu unakuta kidutu kidogo kama kipele
Wengine hawavimbi kabisa kabisa hata akigongwa vipi na wadudu hao
Naomba majibu ya kisayansi ni kwanini kunakuwa na tofauti hizo?
Pia nyongeza ya hapo nahitaji kujua je kuna namna ya mtu kufanya mara baada ya kushambuliwa na wadudu hao ili aepuke hali hizo za kuumuka?